Vichekesho: Swahili funny text messages

Leo nimepulizia Air Fresh yenye harufu ya Pilau nyumbani kwangu sasa watoto wa Jirani wamehamia mlangoni kwangu ndio wanacheza hapo. Kila nikitoka wananisalimia. Mama yao ndio kanimaliza kabisa nimetoka akaniambia.. “mmh kumbe wewe ni Mpishi mzuri” 😂

Kama uko na Vichekesho vikali Login utusambazie!

Advertisement

One comment

Leave a Reply