Marioo – Mpaka tomorrow Lyrics + MP3

Posted on

Marioo – Mpaka tomorrow Lyrics + MP3

Nimegundua shida ni kumzoea
Kinachonipa shida ni mazoea
Nimegundua shida nimeizoea
Yanayonipa shida ni mazoea
Si anajua ndo maana anafanya kusudi
Kunikomesha ananikomesha
Nishajishusha sana mpaka sina budi
Kanichoresha ananichoresha

Acha niitwe mlevi
Acha niitwe popo
Ila ukikivaa kiatu changu hautembei
Acha niitwe malaya
Acha niitwe mdangaji
Ila ukikivaa kiatu changu hautembei

Tomorrow tuko hapa mpaka tomorrow
Tuko hapa mpaka tomorrow
Tomorrow tuko hapa mpaka tomorrow
Tuko hapa mpaka tomorrow
Tomorrow tuko hapa mpaka tomorrow
Tuko hapa mpaka tomorrow

Mara aseme natoka na Wema Sepetu Petu
Anasema natoka na Hamisa Mobeto Beto
Kosa sio kosa ndege ameruka Pruu
Ameruka Pruuu
Mi sina kosa ila ananijia juu
Ananijia juu
Ananijia juu
Naonewa yoyooo aaah
Nanyanyaswa acheni nyieee

Acha niitwe mlevi
Acha niitwe popo
Ila ukikivaa kiatu changu hautembei
Acha niitwe malaya
Acha niitwe mdangaji
Ila ukikivaa kiatu changu hautembei

🎵 Marioo – Mpaka tomorrow MP3

Hadi tomorrow
Tuko hapa mpaka tomorrow
Tuko hapa mpaka tomorrow
Tomorrow tuko hapa mpaka tomorrow
Tuko hapa mpaka tomorrow
Tomorrow tuko hapa mpaka tomorrow
Tuko hapa mpaka tomorrow