Appy – Watu Feki MP3 Download

Posted on

Appy Watu Feki MP3 Download + Lyrics

Siku mbili sijalala sijakula
Ninastress
Nyumba imegeuka chumba cha dharura
Emergency
Sioni marafiki ama mashosti
Au mnasubiri nife ndio mniposti
Bora nitafute pesa
Ndugu wa kweli mafanikio
Watu feki watu feki

Sitaki marafiki siwataki ng’o
Sitaki wanafiki sitaki watu feki
Wambie walio nicheat
Wakaniumiza roho
Sitaki wanafiki sitaki watu feki

Sijui ninyamaze ama niseme wanicheke
Ama nijikaze nilie ninyamaze nijiliwaze

Lah lah lah lah lah
Lah lah lah lah
Lah lah lah lah
Lah lah lah lah
Lah lah lah lah lah
Lah lah lah lah
Lah lah lah lah
Lah lah lah lah

Appy - Watu Feki MP3 Download

🎧 Download MP3 – 128kbps (3.4MB)

Watu feki wasioridhika
Nilishazika nikasafirisha
Watu feki watu feki
Leo wanakupandisha
Kesho ndio watakushusha
Watu feki watu feki
Utakufa na njaa
Msibani watapika pilau
Ukishika chapaa
Utacheka nawanao kudharau
Mmmh
Bora wali nyama kuliko walimwengu
Wakikosa sufuria watakupiga majungu
Ukweli unauma ukweli ni mchungu
Yeah yeah yeah

Sitaki marafiki siwataki ng’o
Sitaki wanafiki sitaki watu feki
Wambie walio nicheat wakaniumiza roho
Sitaki wanafiki sitaki watu feki

Sijui ninyamaze ama niseme wanicheke
Ama nijikaze nilie ninyamaze nijiliwaze

Lah lah lah lah lah
Lah lah lah lah
Lah lah lah lah
Lah lah lah lah
Lah lah lah lah lah
Lah lah lah lah
Lah lah lah lah
Lah lah lah lah